Mazazi salama ya mtoto huwa ni furaha na fanaka kwa wazazi wa mtoto yule.

Mazazi salama ya mtoto huwa ni furaha na fanaka kwa wazazi wa mtoto yule. Hivyo nasi pia, tunaweza kuwa ni sababu ya kufurahi kwa wazazi wetu wa mbinguni na kiroho kutokana na aina sahihi ya maisha yetu. Kama ambavyo tuna uwezo wa kuandaa hii furaha ya hawa wazazi wetu na kuifanya kuwa ni furaha ya kudumu milele.

Sasa ni vipi tunaweza kuwa na uzawa salama huo ahera?

Soortgelyke plasings
Kommentaar

Maak 'n opvolg-bydrae

Jou e-posadres sal nie gepubliseer word nie.