Ni upi uhakika na ukweli wa furaha ya watu wa peponi?

Furaha ndani ya pepo itakuwa ni katika msingi wa kwamba siku hadi siku itakuwa ni yenye kutuweka karibu na Mwenyezi Mungu. Sasa kiuhalisia watu wa peponi duniani pia walikuwa hivi hivi, kwa maana ya kwamba pia walikuwa ni watu ambao walichagua furaha ambayo siku hadi siku ilikuwa ni yenye kuwasogeza kwa Mwenyezi Mungu.

Kiukweli ni kwamba hakuna kabisa furaha ya juu zaidi ya ile yenye kukusogea karibu na Mwenyezi Mungu.

Kwa mtazamo wako, ni furaha zipi ambazo zina sifa ya kutusogeza zaidi kwa Mwenyezi Mungu?
Tafadhali hebu tuandikie katika comment

Soortgelyke plasings
Kommentaar

Maak 'n opvolg-bydrae

Jou e-posadres sal nie gepubliseer word nie.