Ni wapi au ni kutoka kwa nani unaweza kupata maelezo kamili juu ya furaha?

Ni wapi au ni kutoka kwa nani unaweza kupata maelezo kamili juu ya furaha?
Je, ni kutoka kwa mtu mwenye elimu kwa ngazi ya juu?

Au ni kutoka kwa mtaalamu wa maswala ya saikolojia?

Mimi kwa mtazamo wangu ni kwamba, yupo moja tu ndiye mwenye uwezo wa kutoa maelezo kamili na sahihi juu furaha, naye ni Mwenyezi Mungu tu.

Kwa mtazamo wako, Mwenyezi Mungu anaielezea vipi furaha?

Soortgelyke plasings
Kommentaar

Maak 'n opvolg-bydrae

Jou e-posadres sal nie gepubliseer word nie.