Nyakati bora kabisa

Hebu jaribu kuvuta picha kwamba upo ndani ya vazi la kifalme lenye kunakshiwa na dhahabu nzuri kabisa, huku kichwani mwako ukiwa umeweka kofia ya kifalme yenye kunakshiwa pia na yakuti nyekundu, na kwa upande mwingine kuna malaika wazuri ambao wapo pembeni ya mango wa pepo wakikwambia:
“..Kwa furaha na heshima, ingia peponi..”

Aaaah!, ni wakati mzuri ulioje. Kuingia sehemu ambayo ni ya kudumu na milele!

Kwa mtazamo wako, unadhani kuna sehemu au nyakati bora zaidi ya hii?

Soortgelyke plasings
Kommentaar

Maak 'n opvolg-bydrae

Jou e-posadres sal nie gepubliseer word nie.