Tusiwe ni wenye kuchukulia ugumu sana katika maisha yetu!

Kumbuka ya kwamba kila ambapo tunakumbana na matatizo, basi tunakuwa ni mfano wa mto ambao kadri ambavyo unakutana na mawe makubwa ndivyo ambavyo unazidi kuwa ni wenye maji matamu zaidi.
Hebu na sisi tuwe ni mfano wa mto na mawe makubwa, tupite haya matatizo yetu na tuache yenyewe ndio yabakie na zile aibu na uchafu wa roho zetu.

N vipi tunnaweza kufikia hatua ya kuwa na roho safi ?
Tafadhali hebu tuandikia maoni yako katika Comment.

Soortgelyke plasings
Kommentaar

Maak 'n opvolg-bydrae

Jou e-posadres sal nie gepubliseer word nie.